0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2011/04/hiace-lenye-namba-za-usajili-t-908-bcm.html[/postlink]

Hiace lenye namba za usajili T 908 BCM linalofanya safari zake Mikese kuja mjini Morogoro likiwa limeharibiwa vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na roli aina ya Scania lenye namba za usajili T 251 BBG lililokuwa likivuta tela lenye namba za
usajili T 812 BBP katika jijiji cha Mkambarani nje kidogo ya mji wa
Morogoro leo alfajiri.

MZIMU wa ajali za barabarani umeendelea kuuandama Mkoa wa Morogoro ambapo nyingine mbaya imetokea leo alfajiri na kusababisha vifo vya watu sita hapo hapo.

Ajali hiyo ilitokea baada ya gari aina ya Hiace lenye namba za usajili T 908 BCM linalofanya safari zake Mikese kuja mjini Morogoro kugongana uso kwa uso na roli aina ya Scania lenye namba za usajili T 251 BBG lililokuwa likivuta tela lenye namba za usajili T 812 BBP katika jijiji cha Mkambarani nje kidogo ya mji wa Morogoro.

Mtandao huu ulifika haraka eneo la tukio na kushuhudia baadhi ya maiti zikiwa ndani ya gari la polisi tayari kwa kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, huku kundi la watu waliokuwa na huzuni wakijazana katika eneo hilo la tukio ili kutambua waliofariki dunia.

Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio walidai kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa roli aliyehama upande wake na kulifuata Hiace.

Mtandao huu ulimshuhudia Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro,lbrahim Mwamakula akihangaika kwenye tukio hilo la ajali na hasa ikizingatiwa kuwa zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika mkoa wake.


0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2011/04/maadhimisho-ya-polisi-day-tarime-na.html[/postlink]

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (kushoto) akimkabidhi Askari Simon Mlashani tuzo ya heshima na ujasiri kwa oparesheni zilizofanyika na kufanikisha uchaguzi mkuu wa mwaka jana, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Polisi (Police day) Aprili 2, 2011.

Askari wakiwa katika paredi wakati wa maadhimisho ya siku hiyo mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (hayupo pichani).
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (aliyesimama) akiwa na Kaimu Kamanda wa Tarime na Rorya, Sebastian Zakharia na Mkuu wa Wilaya, John Henjewele wakati wa maadhimisho ya siku hiyo

MAADHIMISHO YA 'POLISI DAY' TARIME NA RORYA MARA

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/10/ferre-golla-apagawisha-mashabiki-dar.html[/postlink]




Shabiki naye hakuwa nyuma kumshitulia staili ya Kijoti Joti, Ferre Golla.
Mnenguaji wa Ferre Golla akiajibika ukumbini hapo.
Mwanamuziki Fere Gola akifanya vitu vyake na mmoja wa waimbaji wake.

Ferre Golla katikati akitambulishwa na watangazaji wa TBC1 Benny Kinyaiya kushoto pamoja na wa Clouds FM Sofia Kessy tayali kwa makamzi.

Mwanamuziki Ferre Golla kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akicheza wakati wa onesho la kukata na shoka kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam ambapo alikonga nyoyo za mashabiki kwa kupiga nyimbo zake mbalimbali. Onesho la mwanamuziki huyo lilisindikizwa na bendi ya Mashujaa .

FERRE GOLLA APAGAWISHA MASHABIKI DAR,

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/10/eminem-ft-lil-wayne-no-love.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=KV2ssT8lzj8&feature=player_embeddedendofvid [starttext] Eminem ft lil wayne- No love [endtext]

Eminem ft lil wayne- No love

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/amini-robo-saa.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=KpqVrNhoTqMendofvid [starttext] Amini - Robo Saa [endtext]

Amini - Robo Saa

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/at-feat-stara-thomas-nipigie.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=tJ7TD4OIc50endofvid [starttext] AT Feat Stara Thomas - Nipigie [endtext]

AT Feat Stara Thomas - Nipigie

1
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/diamond-mbagala-mashairiwith-lyrics.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=ZMkLskD7xW8endofvid [starttext] Diamond - Mbagala (Mashairi/With Lyrics, Turn Caption ON) [endtext]

Diamond - Mbagala (Mashairi/With Lyrics, Turn Caption ON)

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/alpha-feat-ay-songa-mbele.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=s-uF5qg951Eendofvid [starttext] Alpha, from Burundi (a country adjacent to Tanzania) featuring Ambwene Yesaya (A.Y.) from Tanzania (East Africa) perfect collabo, Utaipenda.. Recorded and Mastered at BHits, by Hermy B. [endtext]

Alpha Feat A.Y - Songa Mbele

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/shaa-shoga.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=x47uO5v2EgQendofvid [starttext] Pongezi Kwa Shaa For a very nice Song, and Ofcourse kwa wananchi wa Visual Lab for creative and inspiring video. Usanii sio lazima uimbe, ucheze, au Uigize...bali hata kwa Kuangalia Video za wasanii basi na wewe kwa namna moja au nyingine unaweza ukawa msanii. Support mwananchi nunu kazi zao na pia eneza taarifa. [endtext]

Shaa - Shoga

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/mwasiti-nalivua-pendo.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=tuy7Xcichn8endofvid [starttext] Mwasiti - Nalivua Pendo [endtext]

Mwasiti - Nalivua Pendo

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/berry-black-feat-mr-blue-naranda.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=cEHVLJELSC8endofvid [starttext] Berry Black Feat Mr. Blue - Naranda [endtext]

Berry Black Feat Mr. Blue - Naranda

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/nikki-wa-pili-feat-joh-makini-higher.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=WHUqdtHcWAEendofvid [starttext] Nikki wa Pili Feat. Joh Makini - Higher [endtext]

Nikki wa Pili Feat. Joh Makini - Higher

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/izzo-bizness-feat-suma-lee-business.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=kGhYfYU8MRAendofvid [starttext] Izzo Bizness Feat. Suma Lee - Business [endtext]

Izzo Bizness Feat. Suma Lee - Business

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/gelly-at-feat-rayc-mama-ntilie.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=5Mq4hkVbkGsendofvid [starttext] Gelly & AT Feat RayC - Mama Ntilie [endtext]

Gelly & AT Feat RayC - Mama Ntilie

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/tmk-majita-original-baby-girl.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=VZMg5mJ6ps4endofvid [starttext]TMK Majita Original - Baby Girl [endtext]

TMK Majita Original - Baby Girl

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/bigjahman-fet-richard-far-away.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=ubaW17jdj9Uendofvid
[starttext]BigJahman Fet Richard - Far Away [endtext]

BigJahman Fet Richard - Far Away

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/kidum-feat-jay-d-nitafanya.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=LcU-aSXS1ukendofvid
[starttext]Kidum Feat Jay D - Nitafanya (HermyB Version)
[endtext]

Kidum Feat Jay D - Nitafanya

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/barnaba-feat-linah-wrong-number.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=BpUoYgDEaqkendofvid
[starttext]
Barnaba Feat. Linah - Wrong Number
[endtext]

Barnaba Feat. Linah - Wrong Number

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/off-sidetrick-feat-bi-kidude-ahmada.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=MG-6g-ASmCQendofvid
[starttext]
Off-SideTrick Feat. Bi Kidude - Ahmada
[endtext]

Off-SideTrick Feat. Bi Kidude - Ahmada

0
[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/08/klex-ringa_06.html[/postlink]http://www.youtube.com/watch?v=M7ItKC0xC4Eendofvid
[starttext]
Klex - Ringa
[endtext]

Klex - Ringa