[postlink]https://g5tv.blogspot.com/2010/10/ferre-golla-apagawisha-mashabiki-dar.html[/postlink]
Ferre Golla katikati akitambulishwa na watangazaji wa TBC1 Benny Kinyaiya kushoto pamoja na wa Clouds FM Sofia Kessy tayali kwa makamzi.
Mwanamuziki Ferre Golla kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akicheza wakati wa onesho la kukata na shoka kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam ambapo alikonga nyoyo za mashabiki kwa kupiga nyimbo zake mbalimbali. Onesho la mwanamuziki huyo lilisindikizwa na bendi ya Mashujaa .

0 comments:
Post a Comment